ProZ.com translation contests »
32nd Translation Contest: "Movie night" » English to Swahili » Entry by clarice wandera


Source text in English

Translation by clarice wandera (#37334)

To say that I was compelled by Parasite from start to finish is an understatement; its filming style with tracking shots are enthralling. Having watched several Korean films during the London Korean Film Festival, I was familiar with the usual genres employed in such films but Parasite seemed to defy them all! Parasite is comedic, in a quirky way, it is also a thriller, straddles class divisions and also depicts a family tale amongst other genres and is therefore likely to appeal to all ages.

Parasite truly deserves to be watched in a cinema to appreciate its nuances and the stylish cinematography. As a summary, to avoid spoilers, Parasite tells the tale of the interaction between the Park family and the Kim’s, an unemployed family, whose contrasting worlds collide with long lasting consequences.

[...]Bong Joon-Ho manages to pique the audience’s interest with brightly lit shots coupled with the effective use of indoor space, and it is surprising to realise, after the film’s 2 hour 12 minute length, that most of the scenes occur within the Park family’s home. The mundane elements of domesticity are displayed with an intriguing perspective showcasing Bong Joon-Ho’s flair. It is a slow burner but you will revel in its beauty and ingenuity as Parasite convinces that it operates solely on one level but it is in fact multi-layered and depicts social realism with empathy and pathos.

The cast are beguiling to watch, every facial movement and action is accentuated, even the mere act of walking up or down stairs can convey hidden meaning, which the camera fragments. Levels of unease are also created by virtue of that effective use of space with unusual camera angles and dramatic weather conditions ratcheting up that sensation. There is a surreal nature to Parasite, which its score emphasises, and furthermore the film adopts elements of the absurd devised in such an ingenious way which is truly cinematic magic. Parasite’s apparent eeriness will certainly keep you riveted and would not feel alien to the Twilight Zone school of filmmaking.

The actors are very impressive and add breadth to their roles creating relatability whilst seeming effortlessly cool. When Ki-Woo and Ki-Jeong Kim were working within the Park family home as private tutors they certainly epitomised this level of nonchalant, understated authority creating an aura of mysticism with the unspoken, almost mythical, tutoring techniques employed. Quite simply, the actors Park So-Dam and Choi Woo-Sik, as Ki-Woo and Ki-Jeong, are compelling to watch in the different directions that Parasite follows and they carry these performances seamlessly thereby inviting the audience to be on their side.

[...]Parasite is a remarkable piece of extremely skilful filmmaking, it is simply a must see film, and so I am looking forward to re-watching the film on its UK general release date.
Kusema kwamba nilivutwa na Parasite kutoka mwanzo hadi mwisho ni kutopata kueleweka; mtindo wake wa uandishi wa sinema na picha zenye kufuatilia zinanasa. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea wakati wa Tamasha la Filamu la Korea huko London, nilikuwa na ufahamu wa aina kawaida za jamii zinazotumiwa katika filamu hizo, lakini Parasite ilionekana kuzipinga zote! Parasite ni tamthilia, kwa njia ya kichekesho, pia ni mshindo, inakumbatia mgawanyiko wa tabaka na pia inaonyesha hadithi ya familia kati ya jamii nyingine, hivyo huenda ikapendeza watu wa umri wote.

Parasite kwa hakika inastahili kutazamwa sinemani ili kuthamini undani wake na uandishi wa picha wa kuvutia. Kwa muhtasari, ili kuepuka kuvuja kwa hadithi, Parasite inaelezea hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na Kim, familia isiyo na kazi, ambazo ulimwengu wao tofauti unakutana na matokeo ya kudumu.

[...] Bong Joon-Ho anafanikiwa kuchochea hamu ya hadhira na picha zilizojaa mwangaza pamoja na matumizi yenye ufanisi wa nafasi za ndani, na ni kushangaza kugundua, baada ya filamu ya saa 2 na dakika 12, kwamba sehemu kubwa ya matukio hutokea ndani ya nyumba ya familia ya Park. Elementi za kawaida za maisha ya ndani zinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia unaoonyesha ustadi wa Bong Joon-Ho. Ni mwendo wa pole lakini utajitumbukiza kwenye uzuri na ubunifu wake, huku Parasite ikishawishi kwamba inafanya kazi kwa kiwango kimoja tu lakini ni ya tabaka nyingi na inaonyesha ukweli wa kijamii kwa uchangamfu na huruma.

Wasanii ni wenye kuvutia kutazama, kila mwendo wa uso na hatua unasisitizwa, hata kitendo cha kutembea juu au chini ya ngazi kinaweza kuwasilisha maana iliyofichwa, ambayo kamera inabainisha. Viwango vya kutokuelewana pia vinaundwa kwa kutumia nafasi kwa njia isiyo ya kawaida na pembe za kamera zisizo za kawaida na hali ya hewa ya kimapenzi, ikiongeza hisia hizo. Kuna hali ya kisasa kwa Parasite, ambayo uchezaji wa muziki unasisitiza, na zaidi ya hayo, filamu inachukua vipengele vya upuuzi vilivyoundwa kwa njia ya kushangaza ambayo ni uchawi wa sinema. Utatanishi unaodhihirika wa Parasite utakufanya kubaki macho na hautaonekana kama kitu kisicho cha filamu za Twilight Zone.

Waigizaji ni wa kuvutia sana na kuongeza upana kwa majukumu yao kwa kuunda uhusiano wakati wanaonekana kuwa wa kupendeza na wenye kujiamini. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walikuwa wanafanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama waalimu binafsi, kwa hakika walifanana na kiwango hiki cha utulivu, mamlaka isiyosisitizwa ikiunda anga ya siri na mafunzo yasiyosemwa, karibu hadithi za kihistoria. Kwa urahisi, waigizaji Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, ni wazuri kutazama katika mwelekeo tofauti ambao Parasite inafuata, na wanachukua hizo utendaji bila kusita hivyo kuwakaribisha watazamaji kuwa upande wao.

[...] Parasite ni kipande cha kutia moyo cha utengenezaji wa sinema uliojaa ustadi, ni filamu lazima itazamwe, na hivyo naatarajia kutazama filamu wakati wa tarehe yake ya kutolewa rasmi nchini Uingereza.


Discuss this entry